Familia yalilia haki Migori eneo la Angata Barakoi

  • | Citizen TV
    137 views

    Familia Moja kutoka eneo la Taranganya kaunti ya migori, inalilia haki baada ya kijana wao wa umri wa miaka 19 kuuawa katika eneo la Angata barrakoi Mpakani mwa kaunti za Migori na Narok.