Wafugaji wa samaki wahimizwa kufuga wadudu 'Black Fly' Nyeri

  • | Citizen TV
    329 views

    Wakulima wanaofuga Samaki wametakiwa kukumbatia kilimo cha nzi mweusi {Black soldier fly} kama chakula mbadala cha viumbe hao, kama njia ya kupunguza gharama ya uzalishaji, inayowabana pakubwa. Wito huo umetolewa kwa wakulima wa Samaki katika kaunti ya nyeri na vijana ambao wameanzisha uzalishaji wa nzi hao, wanaojulikana kwa viwango vya juu vya protini, kiungo muhimu kwenye ufugaji wa samaki