Uharibifu wa mimea kwenye shamba Tumbili Busia

  • | Citizen TV
    127 views

    Wakazi wengi wa vijiji hivyo sasa wamelazimika kuasi ukulima na wengine kupanda mimea isiyoliwa na tumbili kwa kuhofia hasara kutoka kwa wanyama hao waharibifu. Juhudi za kukabaliana nao hata kwa kutumia mbwa zimekosa kuzaa matunda huku idadi ya tumbili hao ikizidi kuongezeka. Wameitaka serikali kupitia kwa idara ya wanyama pori kws kuingilia kati haraka iwezekanavyo na kuwasaidia kukabiliana na tumbili hao