Shule ya nandi hills yakumbatia kuishi na nyani huko nandi

  • | Citizen TV
    2,825 views

    Wakazi wamehimizwa kutafuta mbinu mwafaka ya kuishi na nyani ili kuzuia mzozo baina ya watu na wanayamapori ambapo wakati mwingine husababisha kuuawa kwa wanyama hao