Babake mwanablogu Albert Ojwang aliyeuwawa nchini Kenya analilia haki

  • | BBC Swahili
    3,023 views
    Kifo cha Albert Ojwang akiwa kizuizini kimezua taharuki nchini Kenya. Madaktari wa serikali walioufanyia uchunguzi mwili wake wamesema alionekana kuwa amepigwa vibaya sana, kauli inayopingana na madai ya polisi kwamba alijijeruhi mwenyewe. Baba yake Ojwang’ amesema anatumai atapata haki. #albertojwang #kenya #bbcswahili #kenyapolice #policebrutalitymatters