6 Nov 2025 1:12 pm | Citizen TV 1,281 views Duration: 40s Wadau wa sekta ya Utalii wameandamana mapema leo hapa jijini Nairobi kupinga ongezeko la ada za kuegesha magari na kuingia katika mbuga na hifadhi za wanyamapori nchini.