Afisa wa polisi auawa na mwana bodaboda Thika

  • | KBC Video
    2 views

    Afisa wa polisi anayefanya kazi na kikosi maalum cha uthibitishaji bidhaa aliuawa kwa kupigwa risasi wakati shughuli ya kawaida ya kukagua pikipiki ilipogeuka kuwa makabiliano. Konstebo Bernard Koome na mwenzake walikuwa wamesimamisha pikipiki ambayo haikuwa na nambari maalum za usajili kuthibitisha kwamba ilifaaa kuhudumu kama bodaboda mjini Thika. Hata hivyo mambo yaligeuka karaha pale mwenye pikipiki alipokaidi maagizo ya maafisa wa polisi na badala yake akampiga risasi mmoja wa maafisa hao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive