Habari katika kaunti

  • | KBC Video
    3 views

    Familia moja katika eneo la Taranganya kaunti ya Migori inataka haki itendeke kufuatia mauaji ya mtoto wao wa kiume mwenye umri wa miaka 19 huko Angata Barikoi, karibu na mpaka uliokumbwa na matatizo kati ya maeneo ya Gwitembe na Angata. Hivi majuzi eneo hilo lilikumbwa na mzozo kati ya jamii za Wakuria na wa Kipsigis. Taarifa kamili katika mseto wa kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive