Viongozi waendelea kulaani mauaji ya Albert Ojwang

  • | KBC Video
    4 views

    Gavana wa kaunti yaMakueni Mutula Kilonzo Junior anaitaka serikali kuchukua hatua za dharura kukomesha mauaji ya kiholela humu nchini akiyataja kuwa tishio kwa demokrasia. Akigusia mauaji ya hivi majuzi ya mwanablogu Albert Ojwang na kupigwa risasi kwa mchuuzi Boniface Mwangi Kariuki jijini Nairobi, Mutula alisema matukio hayo ni ukiukaji wa haki za binadamu na anataka waliotekeleza maovu hayo wawajibishwe. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive