Silaha inayoweza kuharibu kituo cha nyuklia,Iran

  • | BBC Swahili
    11,139 views
    Kituo cha nyuklia cha Fordo kimefunikwa ndani kabisa ya mlima, na ni miongoni mwa maeneo ya nyuklia yanayolindwa kwa nguvu zaidi nchini Iran. Israel inasema kwamba mojawapo ya malengo yake makuu ni kuharibu vituo kama hiki. Lakini kuna silaha moja tu inayojulikana kuwa na uwezo wa kukiharibu kituo hicho na ni Marekani pekee inayojulikana kuwa nayo. - - #bbcswahili #mashambulizi #iran #israel #silaha #nyuklia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw