Skip to main content
Skip to main content

Magavana wataka Bajeti ya sekta ya afya iongezwe

  • | Citizen TV
    88 views
    Duration: 2:10
    Magavana sasa wanaitaka serikali kuu kutenga pesa zaidi za sekta ya afya. Kwa mujibu wa magavana katika kamati ya afya, ipo mianya mingi ambayo inastahili kuzibwa hasa baada ya kuondoka kwa wadhamini huku sasa wakitaka kiwango kikubwa cha feddha kwa bajeti kuwekezwa kwa sekta ya afya. Kadhalika, magavana wametaka mabadiliko katika sheria za bima ya afya wakitaka malipo kabla ya tarehe 9 ya kila mwaka kubadilishwa.