Mshukiwa Mkuu wa Mauaji ya Grace Nafula aliyekuwa na ujauzito wa miezi mitatu Afikishwa Mahakamani

  • | NTV Video
    2,003 views

    Mshukiwa mkuu wa mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha pili Grace Nafula aliyekuwa na ujauzito wa miezi mitatu kutoka eneo bunge la Navakholo, kijiji cha Lutaso amefikishwa mahakamani mjini Kakamega.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya