Hasira za umma zaongezeka kila kukicha kufuatia visa vya ukatili wa polisi nchini Keny

  • | K24 Video
    81 views

    Hasira za umma zinaongezeka kila kukicha kufuatia visa vya ukatili wa polisi nchini Kenya. Mauaji ya Albert Ojwang’ na kupigwa risasi kwa boniface kariuki kumezua wito mpya wa uwajibikaji. Wakati maswali yakiibuka kuhusu maagizo haramu, mageuzi yanayopuuzwa, na athari za kiakili kwa maafisa wa polisi na waathiriwa swali kuu ni nani atawajibishwa wakati walinda sheria wanapovunja sheria?