- 148 viewsDuration: 2:27Vikundi 32 vya wanawake na vijana katika Kaunti ya Isiolo vimenufaika na vifaa vya kuweka akiba ili kujikinga na athari za mabadiliko ya tabianchi. Makundi hayo yamepewa mtaji wa kuanzia wa shilingi 25,000 kutokana na mradi wa kujiandaa na madhara yanayotokana na mabadiliko ya tabianchi. Hii ni baada ya msaada wa mashirika yasiyo ya kiserikali waliokuwa wakipata wakati wa majanga kama vile ukame na mafuriko kusitishwa