Ufisadi unachangia utovu wa usalama katika taifa

  • | Citizen TV
    327 views

    Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi Nchini (EACC) imewataka maafisa wa usalama na utawala katika ukanda wa Magharibi mwa Kenya kujihepusha na ufisadi katika utekelezaji wa majukumu yao, kama njia moja ya kukuza amani na usalama wa taifa.