6 Nov 2025 1:45 pm | Citizen TV 434 views Duration: 3:43 Huku jenzi wa Barabara kuu ya kutoka Kenol Kuelekea Marua unapoelekea kukamilika, wakazi wa kaunti za Murang’a, Kirinyaga na Nyeri inakopita Barabara hii, Wamejibidiisha kufungua biashara mpya na kuzipanua walizo nazo.