Baraza la Waislamu Tawi la North Rift lakemea polisi katili

  • | Citizen TV
    385 views

    Viongozi wa dini ya Kiislamu bonde la Ufa kaskazini wamekashifu mauaji ya kiholela pamoja na kuwepo kwa magenge hatari wakati wa maandamano jijini Nairobi siku ya Jumanne .