Kinara wa ODM asikitishwa na kubatilishwa kwa kandarasi ya Adani

  • | Citizen TV
    17,512 views

    Kinara wa ODM Raila Odinga ameeleza kusikitishwa kwake na kufutiliwa mbali na mradi wa kampuni ya Adani wa kujenga na kukarabati uwanja wa ndege wa JKIA akisema hatua hiyo imenyima taifa nafasi ya kuimarisha uchukuzi wake wa ndege.