Familia za vijana wa gen-z waliouawa kuandaa maandamano

  • | Citizen TV
    14,318 views

    Familia za vijana wa gen-z waliouawa na polisi kwenye maandamano ya juni 25 mwaka jana, zimeandaa maandamano mengine ya amani kuwakumbuka wapendwa wao siku ya Jumatano wiki ijayo.