Kinara wa ODM asikitishwa na kubatilishwa kwa kandarasi ya adani

  • | Citizen TV
    5,084 views

    Kinara wa ODM Raila Odinga ameeleza kusikitishwa kwake na hatua ya kufutiliwa mbali kwa mradi wa kampuni ya adani wa kujenga na kukarabati uwanja wa ndege wa jkia akisema hatua hiyo ililinyima taifa nafasi ya kuimarisha uchukuzi wa ndege.