Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya wakazi 5,000 Kitui kunufaika na ukarabati wa bwawa la kihistoria la Thokoa

  • | NTV Video
    112 views
    Duration: 1:17
    Zaidi ya wakazi 5,000 wa wadi ya Kyome Thaana, eneo bunge la Mwingi West kaunti ya Kitui, watanufaika na ukarabati unaoendelea wa bwawa la kihistoria la Thokoa lililojengwa enzi za ukoloni. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya