Wanawake wana uwezo mkubwa wa kufanya mambo mengi zaidi ya wanaume

  • | BBC Swahili
    1,138 views
    Kwa muda mrefu, wanawake wameonekana kuwa dhaifu kuliko wanaume, lakini tafiti za kisasa zinaonyesha kuwa wana uwezo wa kipekee katika nyanja mbalimbali. Wanawake huonyesha umahiri mkubwa katika kazi nyingi kwa wakati mmoja, kukabiliana na mfadhaiko, kuwa na kinga imara ya mwili, kuishi muda mrefu zaidi, na kuwasiliana kwa ufanisi mkubwa. Uwezo huu ni wa kisayansi na wa kuenziwa, na jamii inapaswa kuutambua kama nguzo muhimu ya maendeleo. Mwandishi wa BBC Phillys Mwatee ameyaangazia mambo matano ambayo wanawake wanayafanya vyema kuliko wanaume. 🎥: @frankmavura & @brianmala - - #bbcswahili #wanawake #utafiti #tanzania #kenya #ajira #familia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw