- 159 views
Shirika la Amref kwa ushirikiano na wizara ya afya katika kaunti ya Kajiado limeanza kutekeleza mpango wa one health, ambao unajumuisha wakazi kupewa matibabu ya bure pamoja na kutoa chanjo kwa mifugo na wanyama wengine wa nyumbani kama vile mbwa na paka. Mpango huo ambao unatarajiwa kudumu kwa kipindi cha miaka mitano unalenga kuhakikisha kuwa magonjwa ya kuambukuza kutoka kwa wanyama hadi kwa binadamu yanakabiliwa na hivyo kupunguza mzigo wa mtibabu kwa umma
Wananachi kupewa huduma za afya kaunti ya Kajiado
- - 🔴 TV47 LIVE ››
- - Duniani Leo ››
- 9 Aug 2025 - Norway has extradited a man suspected of involvement in the 1994 genocide in Rwanda to the Great Lakes country, officials in both nations said Friday.
- 9 Aug 2025 - New Delhi has put on hold its plans to procure new U.S. weapons and aircraft, according to three Indian officials familiar with the matter, in India's first concrete sign of discontent after tariffs imposed on its exports by President Donald Trump…
- 9 Aug 2025 - Nyoro is currently at loggerheads with Ruto's government.
- 9 Aug 2025 - Identities of staff and crew of the ill-fated flight made public.
- 9 Aug 2025 - This survivor is fighting for justice after being assaulted by her child’s father, a police officer.
- 9 Aug 2025 - How credit is driving quiet revolution in borrowing trends
- 9 Aug 2025 - Nakuru-based surgeon wants CSs Mbadi, Murkomen, Kabogo and Ogamba cited for contempt of court.
- 9 Aug 2025 - PS says the new system will be rolled out in the next three months
- 9 Aug 2025 - Met department has long struggled with underfunding, affecting its ability to deliver timely and accurate weather updates
- 9 Aug 2025 - A detailed dossier was sent by insiders to the Ethics and Anti-Corruption Commission on her alleged abuse of office.