Gavana ntutu aahidi watalii kuwa usalama umeimarishwa

  • | Citizen TV
    229 views

    Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu ameahidi kuimarishwa usalama wa wageni wa kimataifa msimu wa Utalii katika mbuga ya Maasai MaraAkizungumza katika sherehe ya ufunguzi wa nyumba katika Kijiji cha Enkineji eneo bunge la Narok Magharibi, Gavana Ntutu pia ametoa hakikisho kuwa hali ni bora kwa kambi na hoteli katika mbuga hiyo