Serikali ya kaunti ya Bungoma kuimarisha vipaji vya vijana

  • | Citizen TV
    63 views

    Waziri wa elimu kaunti ya Bungoma mhandisi Agnes wachiye amehakikishia vijana katika kaunti hiyo kwamba serikali ya gavana Kenneth Lusaka imeweka mikakati ya kupiga jeki vipaji miongoni mwa vijana kwa kujenga viwanja vya michezo ambavyo vitawasadia kukukuza talanta zao