Familia Nairobi imekuwa ikimtafuta kijana wao wa miaka 27

  • | Citizen TV
    651 views

    Waliacha nyumba zao ili kupaza sauti dhidi ya dhuluma kwa Kenya na wakenya lakini baadhi yao hawakusikika tena. Mwaka mmoja baada ya maandamano ya Gen Z, familia kadhaa bado zinasalia kwenye ndoto mbaya, zikisubiri kwa matumaini kuwa siku moja fumbo la walipo wana wao litafumbuliwa