Tamasha ya pili la Bahari laandaliwa Mombasa

  • | Citizen TV
    92 views

    Tamasha ya pili la Bahari limezinduliwa rasmi huko Mombasa. Tamasha hilo la ukanda wa Afrika Mashariki linatazamiwa kuleta vijana pamoja kupitia michezo na talanta ili kujipatia ajira pamoja na kutoa hamasiho kuhusu utunzaji wa mazingira na viumbe vya bahari. Mwazilishi wa tamasha hizo hamisi mwaguya, jeshi la wanamaji pamoja na shirika la coast guard wametaka vijana kutoka pwani kutumia fursa hiyo kujipatia ajira na kusita kukaa maskani