Wakaazi wa Meru wachagua viongozi wapya Garissa

  • | Citizen TV
    223 views

    Jamii ya wameru wanaoishi katika Kaunti ya Garissa wamejitokeza kwa wingi katika eneo la Jamhuri kushiriki zoezi la uchaguzi wa viongozi wapya watakaowakilisha na kutetea maslahi ya jamii hiyo.