Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku afanya ziara ya ghafla katika afisi za makao makuu

  • | Citizen TV
    1,891 views

    Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku hii Leo amefanya ziara ya ghafla kubaini utendakazi wa wafanyikazi wa umma katika afisi za makao makuu ya bonde la ufaa katika kaunti ya Nakuru kama njia moja ya kubaini ni saa ngapi wafanyikazi hao huingia afisini.