Elimu ya CBE kusaidia wanafunzi kuvumbua vipaji vyao

  • | Citizen TV
    183 views

    Elimu ya CBE inabadilisha hatua kwa hatua mandhari ya elimu nchini Kenya kwa kuwawezesha wanafunzi kugundua na kukuza vipaji vyao kuanzia shule ya msingi hadi vyuo vikuu.