Meneja wa taasisi ya lugha za kigeni atoa wito kuondoa ushuru wa uchapishaji wa vitabu

  • | NTV Video
    103 views

    Katika juhudi za kuimarisha sekta ya uandishi wa vitabu nchini, Meneja wa Taasisi ya Lugha za Kigeni na Masomo ya Kitaaluma nchini Hassan Kinyua ametoa wito kwa serikali kuondoa ushuru kwa uchapishaji wa vitabu. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya