Africa Eye; Watoto wanaangamizwa Cape town

  • | BBC Swahili
    2,842 views
    Katika kipindi cha miezi mitatu tu, takriban watu 263 wamepoteza maisha wakiwemo watoto huku ghasia za magenge zikitikisa eneo la Cape Flats, mjini Cape Town Afrika Kusini. BBC Africa Eye imepata fursa adimu kuingia Hanover Park, moja ya mitaa hatari zaidi, kufichua gharama ya kibinadamu na kukutana na wale wanaohatarisha maisha yao kuzuia umwagikaji wa damu. #BBCAfricaEye #bbcswahili #capetown #afrikakusini #uhalifu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw