Mbunge Mary Wamaua awataka polisi kuwa watulivu

  • | Citizen TV
    596 views

    Huku vijana wakipanga kushiriki maandamano hapo kesho ili kuwakumbuka vijana wenzao wa kizazi cha GenZ waliouawa wakati wa maandamano dhidi ya mswada wa fedha wa mwaka jana.