Rais William Ruto awaonya vijana dhidi ya kuwachokoza maafisa wa polisi wanapoandamana

  • | Citizen TV
    1,725 views

    Rais William Ruto amewatahadharisha wakenya dhidi ya kuwatishia maafisa wa polisi, hasa wanapofanya kazi yao ya kudumisha amani nchiniakizungumza katika hafla ya kupokea kombe la ligi ya fkf nchini, ambako timu ya Police FC iliibuka kidedea, rais amewasifu polisi kwa kuhakikisha usalama umeimarishwa nchini.