Daktari Oluga ataka mswada wa afya kupitishwa kukabili makosa ya matibabu

  • | NTV Video
    60 views

    Katibu mkuu katika wizara ya afya Daktari Ouma Oluga analitaka bunge kupitisha mswada wa ubora wa huduma za afya na usalama wa mgonjwa, ili kupunguza visa vya utambuzi na utoaji wa dawa usio sahihi, ambao umefikia asilimia 31.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya