Wajane wamesimulia masaibu yanayowatatiza maishani

  • | Citizen TV
    282 views

    Mama wa Taifa Rachael Ruto aliongoza viongozi mbalimbali nchini kusaidia kupigana na dhulma zinazozidi kukandamiza wajane katika jamii . Katika hafla ya kitaifa ya kuwakumbuka wajane nchini iliyofanyika huko Nyamira, washikadau mbalimbali walitaka jamii kujiepusha na mila potovu zainazowakandamiza wajane