Wahudumu wa juakali wasema ardhi yao ya kufanyia kazi imenyakuliwa

  • | Citizen TV
    129 views

    Mzozo wa umiliki wa kipande cha ardhi Eneo la London, Nakuru Magharibi unatokota kati ya makundi mawili yanayodai umiliki wa shamba hilo lenye ukubwa wa ekari 21. Wafanyabiashara kutoka sekta ya juakali wakisema wao ndio wamiliki halali wa shamba hilo ambalo sasa limepandwa mahindi na kundi jingine lisilojulikana