Idadi kubwa ya wanafunzi waacha masomo Oyugis, Homa bay

  • | Citizen TV
    100 views

    Washika dau wa elimu katika eneo la Oyugis wameeleza wasisi wao kufuatia ongezeko la wanafunzi wanaoacha masomo na kujishughulisha na uchimbaji dhahabu katika eneo hilo. Wito umetolewa kwa vyombo vya usalama kuimarisha doria na kuhakikisha wanafunzi hawarusiwi katika shughuli za dhahabu