Shirika la Kephis laandaa kongamano kuhusu usalama wa vyakula

  • | Citizen TV
    100 views

    Hatua za uchunguzi wa ubora wa vyakula zinazoagizwa nchini kutoka mataifa ya kigeni zitatiliwa mkazo ili kuhakikisha kuwa ni salama na bora kwa matumizi