Wito wa mazungumzo yatolewa kabla ya maandamano ya Gen Z

  • | NTV Video
    3,671 views

    Kufuatia maandamano ambayo yameratibiwa hapo kesho na kizazi cha Gen-Z, ili kuwakumbuka vijana waliouawawa wakati wa maandamano dhidi ya mswada wa fedha wa mwaka jana, wito wa kuwepo kwa mazungumzo umetolewa kama njia ya kipekee ya kushughulikia matakwa yao.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya