Mkataba wa kusambaza dawa za Anemia Selimundu Nyanza

  • | Citizen TV
    64 views

    Kaunti ya Kisumu ndio ya hivi punde kutia saini mkataba wa makubaliano na kampuni moja ya Marekani ya Yunigen ya kusambaza dawa za kusiaidia tiba ya anemia selimundu na magonjwa mengine Katika hafla ya kutia sahii mkataba huo Jijini Kisumu, Gavana wa Kisumu, Peter Anyang Nyong"o amesema kuwa serikali yake itajizatiti kufanikisha mradi huo ambao utapiga jeki sekta ya afya kwa ujumla ukanda wa Nyanza