Watoto bado wakabiliwa na utapiamlo Makueni na Kajiado

  • | NTV Video
    74 views

    Licha ya juhudi kuwekwa nchini kupunguza utapiamlo ripoti kutoka kwa serikali kuu na kaunti zimeonyesha watoto wengi bado wanakabiliwa na changamoto ya utapiamlo katika kaunti za Makueni na Kajiado.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya