Wadau wataka misitu ya kaya Kilifi ilindwe dhidi ya miradi bila ridhaa.

  • | NTV Video
    25 views

    Katika juhudi za kuhifadhi misitu ya kaya katika kaunti ya Kilifi wadau wa ardhi wameitaka serikali ya kitaifa na ya kaunti kukoma kutekeleza miradi yoyote katika misitu hiyo bila kuhusisha wananchi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya