Twiga maarufu aina ya 'Somali Giraffe' wako hatarini

  • | Citizen TV
    363 views

    Washikadau katika sekta ya uhifadhi wa wanyamapori wanajaribu kuokoa twiga aina ya Somali giraffe ambaye wanasema yumo kwenye hatari ya kuangamia kabisa