Serikali yatakiwa kuwalinda waathiriwa wa dhuluma za kijinsia

  • | Citizen TV
    135 views

    Serikali imelaumiwa kwa kuzembea kuwalinda waathiriwa wa dhuluma za kijinsia huku visa hivyo vikiongezeka kila uchao. Kwa mujibu wa Mkurugenzi mkuu wa shirika la kimataifa la International Justice Mission, Vincent Chahale, Idara ya mahakama humu nchini na serikali ya kitaifa zinafaa kuweka mikakati mwafaka ili kuharakisha uamuzi wa kesi za dhuluma za kijinsia na kuwalinda waathiriwa