Wajane watakiwa kujiunga na mipango ya serikali ya uwezeshaji wa kiuchumi

  • | NTV Video
    47 views

    Wajane wameshauriwa kutilia maanani programu zinazoendeshwa na serikali za kugawa fedha zilizoidhinishwa chini ya sheria ya uwezeshaji wa kiuchumi ili kujikimu kimaisha.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya