Viongozi wa upinzani: Wahuni 4,500 wapangwa kuleta vurugu kwenye maandamano ya Juni 25

  • | NTV Video
    2,373 views

    Viongozi wa upinzani wamejitokeza na kutoa wito wa maandamano ya amani.

    Viongozi wanadai kuwa wanafahamu kwamba tayari kuna kundi la wahuni wa kiasi cha 4,500 ambao wamepangwa kuleta vurugu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya