Maandamano Kenya: Hali ilivyo jijini Nairobi kupitia picha

  • | BBC Swahili
    6,708 views
    Polisi nchini Kenya wanakabiliana na waandamanaji katika maeneo kadhaa ya Jiji Kuu la Nairobi. Mwandishi wa BBC anaelezea kwa kina hali ilivyo #bbcswahili #kenya #GenZ Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw