Lango la kuzimu: Moto usizioma kwa zaidi ya miaka 40

  • | BBC Swahili
    0 views
    Katikati ya jangwa la Karakum nchini Turkmenistan… kuna mipasuko mikubwa inayowaka moto bila kukoma kwa zaidi ya miongo minne. Wanaita... Lango la Kuzimu. Je ni kwa nini bado eneo hilo linaendelea kuwaka moto. Mwandishi wa BBC, Bosha_Nyanje anaturudisha kwenye somo la historia; - - #bbcswahili #moto #historia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw