- 21,504 viewsDuration: 2:12Wachunguzi wa Muungano wa Umoja wa Afrika sasa wanasema kuwa uchaguzi wa Tanzania haukuwa wa huru na haki. Ripoti ya Umoja huu wa AU ikisema kuwa, uchaguzi huo ulikumbwa na udanganyifu uliompa rais Samia Suluhu ushindi mkubwa. Ripoti inaangazia kesi za kujaza madebe ya kura, kuzimwa kwa mtandao na utekaji nyara kuwa baadhi ya mambo yaliyotia doa uchaguzi huo